Planet Bongo
Navykenzo ni kundi la watu wawili ambao wenye mahusino hapa Nahreel na Aika, unajua kuhusu kudumu katika mahusino yao, je ujio wao mpya utakao tikisa Afrika? majibu yote ni Jumatatu hii 9:00pm ndani ya PLANET BONGO ya EATV usikose watafunguka zaidi.
