Hatujapata mabondia wa kuongezea taifa - Wililo Shirikisho la ngumi nchini BFT limesema mpaka sasa hawajapata mabondia wa kuongezea katika kikosi cha Timu ya Taifa ya ngumi mara baada ya kumalizika mashindano ya Taifa yaliyofanyika Mkoani Kigoma. Read more about Hatujapata mabondia wa kuongezea taifa - Wililo