Mashindano ya Taifa ya wazi ya Tenisi kuanza kesho
Nchi alikwa za Zambia, Malawi, Burundi, Uganda na Kenya na wenyeji Tanzania zimehakiki ushiriki wa mashindano ya taifa ya wazi ya Tenisi Tanzania yanayotarajiwa kuanza hapo kesho Uwanja wa Gymkhana jijini Dar es salaam.

