Zahoro Pazzi awaita Mwadui FC kwa mazungumzo
Baada ya kushindwa kucheza ligi kuu soka ya Tanzania Bara msimu uliopita, Kiungo wa zamani wa Simba, Zahoro Pazzi amewaita mezani viongozi wa timu ya Mwadui FC ili kuangalia uwezekano wa kuvaa jezi zao msimu ujao.
