Ngassa awasili Afrika Kusini kujiunga Free State Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Khalfan Ngassa amewasili mjini Johannesburg, Afrika Kusini kujiunga na klabu yake mpya, Free State Stars kwa maandalizi ya msimu mpya. Read more about Ngassa awasili Afrika Kusini kujiunga Free State