Wananchi watakiwa kulinda hifadhi za taifa
Serikali kwa kushirikiana na mradi wa kuimarisha maeneo yaliyohifadhiwa Kusini mwa Tanzania (Spanest) imewataka wananchi wanaoishi karibu na hifadhi za Taifa kuyalinda maeneo hayo ili yasiharibiwe na majangili.
