Rose Mhando atuhumiwa kwa kutoweka na pesa show

Rose Mhando

Msanii maarufu wa nyimbo za injili Rose Mhando ametuhumiwa kutapeli zaidi ya shilingi milioni 3 pesa alizoziomba kwa ajili ya tamasha la burudani ya injili kwa wakazi wa mkoa wa Njombe lilikokuwa lifanyike Jumapili iliyopita na kufunguliwa kesi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS