TWA yaandaa mashindano ya WUSHU Chama cha WUSHU nchini TWA kikishirikiana na ubalozi wa China wameandaa mashindano ya mchezo huo yatakayoanza kutimua vumbi Agosti 29 hadi 30 mwaka huu jijini Dar es salaam. Read more about TWA yaandaa mashindano ya WUSHU