Bandari ya Tanga kuanza kutumika kushusha Mafuta
Serikali ya Tanzania imesema kuwa itaanza kutumia Bandari ya Tanga kuingiza mafuta ifikapo Julai Mosi Mwaka huu kwa lengo la kupunguza msongamano katika bandari ya Dar es Salaam na kuinua uchumi wa mkoa wa Tanga pamoja na kuharakisha usafirishaji