Wananchi Bukoba watoa eneo bila kudai fidia Muonekano wa eneo lililotolewa Wananchi wa kijiji cha Burugo wilayani Bukoba bure, wametoa eneo lao bure bila fidia yoyote kwa serikali ya china kwaajili ya ujenzi wa chuo cha ufundi stadi VETA Read more about Wananchi Bukoba watoa eneo bila kudai fidia