Ongezeko wachezaji wa nje kuleta ushindani-Tambwe
Mshambuliaji wa kimataifa wa Klabu ya Yanga, Mrundi Amisi Tambwe amesema, kuongezwa kwa idadi ya wachezaji wa kimataifa katika vilabu shiriki vya ligi kuu Soka Tanzania Bara itasaidia kuweka changamoto ya kiushindani.

