Joto la Dance 100% 2015 laanza kufuka

Dance 100

Mchakato wa mpambano mkali kabisa wa kuwasaka wakali wa kudansi kupitia mashindano ya Dance 100% 2015, umeanza kufuka joto kwa nguvu ya kutosha, ikiwa ni ishara ya maandalizi kufikia hatua za mwisho tayari kabisa kwa kuanza usahili hivi karibuni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS