FIVB kutoa kozi mpira wa wavu kwa TAVA kesho

Shirikisho la Mpira wa Wavu Duniani FIVB linatarajia kuendesha kozi ya utawala kwa viongozi wa chama cha cha mchezo huo hapa Tanzania TAVA inayotarajiwa kuanza hapo kesho mpaka Juni 30 mkoani Tanga.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS