Waliorudisha fomu za urais CCM sasa wafikia 8 Jengo la Makao makuu ya Chama Tawala nchini Tanzania Chama cha Mapinduzi (CCM). Wagombea wa Urais kupitia CCM wameendelea kurudisha fomu zao baada ya kukamilisha zoezi la kutafuta wadhamini katika mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara na Zanzibar. Read more about Waliorudisha fomu za urais CCM sasa wafikia 8