Aina Mpya ya utalii yazinduliwa jijini Arusha
Aina mpya ya utalii imebuniwa nchini ambapo sasa watalii kutoka mataifa mbalimbali wanatarajiwa kupata fursa ya kukimbia katika maeneo ya asili ikiwa ni njia tofauti na awali ambapo iliwalazimu wageni kuvitembelea vivutio kwa kutumia magari.
