A.Y -WASANII BONGO HAWANA NETWORK YA KUTOSHA
Msanii wa kimataifa wa Muziki kutoka nchini Tanzania Ambwene Yesaya A.Y amesema kuwa Wasanii wengi wa Tanzania wanashindwa kufika anga za kimataifa kutokana na kutoka na network ya kufamiana na watu vya kutosha.