Msanii wa filamu na muziki nchini Tanzania Zuhura Abdul Kadri aka Lolo Da Princess
Msanii wa filamu na muziki nchini Tanzania Zuhura Abdul kadri Lolo Da Princess ameelezea kuwa baada ya kuwepo katika tasnia ya filamu kwa muda mrefu sasa ameanza maandalizi ya kuanza kutengeneza filamu yake mwenyewe.