Uwanja wa Karume kutumika michuano ligi kuu bara

Bodi ya ligi kuu nchini TPBL imetangaza ratiba ya ligi kuu ya soka Tanzania bara inayoanza kutimua vumbi Septemba 12 mwaka huu huku uwanja wa Karume ukitumika kwa ajili ya michuano hiyo na baadhi ya mechi kuchezwa mwishoni na katikati mwa wiki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS