Rais Kikwete Mgeni Rasmi wiki ya Nenda kwa usalama
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt, Jakaya Mrisho Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa wiki ya nenda kwa usalama barabarani ambayo kitaifa inatarajiwa kufanyika mkoani Tanga.