Kabaka,Nyangwine waangushwa kura za maoni Tarime
Hatimaye wanachama wa CCM katika majimbo mawili ya wilayani Tarime Mkoani Mara wamepiga kura za maoni baada ya kuharishwa kwa siku mbili mfululizo huku waziri wa kazi na ajira mh gaudentia kabaka na Mh nyambari Nyangwine wakiangushwa.