Mdoti kutambulisha penzi lake EATV
Msanii wa kizazi kipya Mdoti ambaye ametoa kazi yake ya kwanza 'Penzi la Dhati' itakayotambulishwa rasmi EATV Ijumaa hii amesema kuwa nafasi yake kama msanii chipukizi ni kufanya muziki unaoendana na mahadhi ya nyumbani.

