Stars kuelekea Uturuki Jumapili badala ya Oman
Timu ya soka ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inatarajiwa kuondoka nchini Jumapili usiku kuelekea Istanbul nchini Uturuki kwa kambi ya siku nane kujiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria Septemba 5 mwaka huu.

