Maelezo ya BASATA, Shilole kufungiwa
Msanii wa muziki Shilole amefungiwa kujihusisha na sanaa katika kipindi cha mwaka mmoja ili kujirekebisha kimaadili kwa kutumbuiza jukwaani akiwa amevaa nusu utupu katika onyesho lake alilofanya nchini Ubelgiji mwezi Mei mwaka huu.