Fomu za Wagombea kutolewa Agosti 1 hadi 21. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema zoezi la kuchukua fomu za Wagombea wa Urais, Ubunge na Udiwani walioteuliwa na vyama vyao litaaanza kesho hadi Agosti 21 Read more about Fomu za Wagombea kutolewa Agosti 1 hadi 21.