Chantelle apata msiba wa mtoto
Mwanadada aliyewahi kufanya vizuri katika chati za muziki Afrika Mashariki, Chantelle pamoja na mumewe J Blessings, wamepatwa na pigo kubwa hasa baada ya kufiwa na mtoto wao wakiume, Kylie aliyekuwa na umri wa miezi 7 tu.