Umoja ni nguvu, tufanye uchaguzi kwa pamoja. #ZamuYako2015 Vijana waliojiandikisha tusiache kupiga kura kuchagua viongozi wa nchi yetu, tushirikiane katika uchanguzi mkuu, umoja ni nguvu. #ZamuYako2015 Read more about Umoja ni nguvu, tufanye uchaguzi kwa pamoja. #ZamuYako2015