Ujangili chanzo cha kudhoofu kwa sekta ya utalii
Serikali imesema ongezeko la ujangili ni chanzo cha kudhoofika kwa sekta ya utalii nchini Tanzania na kudidimiza uchumi wa nchi ambapo matukio ya ujangili kwa kipindi cha miaka 10 yameongeza zaidi na kleta athari kwa Wanyama.

