Vijana watano Tanzania kujaribiwa Orlando Pirates Vijana watano wa kitanzania wanatarajia kuondoka nchini Agosti 29 mwaka huu kwa ajili ya kufanya majaribio katika timu ya Orlando Pirates iliyopo nchini Afrika ya Kusini. Read more about Vijana watano Tanzania kujaribiwa Orlando Pirates