UKAWA wavutana mtwara mjini wote wachukua fomu.

Mgombea wa jimbo la Mtwara Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joel Nanauka.

Kizungumkuti kimeendelea kujitokeza katika jimbo la Mtwara mjini ambapo mpaka sasa ni jumla ya wagombea wa vyama vitatu vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA wamechukuwa fomu kwa ajili ya kugombea jimbo hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS