Timu ya Stars U 15 yaingia kambini Kikosi cha timu ya Taifa cha vijana wenye umri chini ya miaka 15 kimeingia kambini kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya kombaini ya Morogoro mwishoni mwa wiki hii. Read more about Timu ya Stars U 15 yaingia kambini