Young Dee atoa elimu ya uraia
Young Dar es Salaam, star wa muziki ambaye leo hii ameachia rasmi video yake ya Do It akishirikiana na Ben Pol ili kuongeza uelewa kwa wananchi juu ya ushiriki katika uchaguzi wa mwaka huu, ameeleza kuguswa kwake kutoa kazi hiyo mpya.

