NEC yasema kila aliejiandikisha atapiga kura

Kaimu Mkuu wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura Bi. Giveness Aswile .

Tume ya Taifa ya Uchaguzi Nchini Tanzania (NEC) imewahakikishia Watanzania wote waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR kuwa watapiga kura.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS