Wachoma moto kituo cha Polisi kusaka mtuhumiwa
Kundi la watu zaidi ya 100 wakiwa na silaha mbalimbali za jadi wamevamia kituo kidogo cha polisi cha Mbingu, kilichopo wilayani kilombero Mkoani Morogoro na kukichoma kwa moto, wakishinikiza kukabidhiwa mtuhumiwa aliyedaiwa kumuua mkewe ili wamuue.
