Sauti Sol waongoza kwa mkwanja
Kundi la muziki la Sauti Sol la nchini Kenya, limetajwa kuwa kundi ambalo linatengeneza pesa nyingi zaidi kutokana na malipo ya mirahaba ya matumizi ya kazi zao, orodha ambayo mara nyingi ilikuwa ikiongozwa na wasanii wa muziki wa injili Kenya.