Mgawo wa Umeme waathiri Wafanyabiashara Arusha

Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) Mhandisi Felchesmi Mramba akielezea mikakati ya shirika la Tanesco kuboresha huduma za umeme nchini kote

Wakazi wa Arusha na wafanyabiashara mbalimbali wamelalamikia tatizo la kukosekana kwa umeme kwa muda mrefu hususani makazi hali inayoathiri shughuli za uchumi na vipato vya wananchi wengi nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS