Kura za maoni sio Maamuzi ya Mwisho-Nape

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi (CCM), Nape Moses Nnauye.

Chama cha Mapinduzi nchini Tanzania CCM, kimesema kuwa kura za maoni sio hatua ya mwisho ya kuteuliwa kuwa mwakilishi wa kugombea katika jimbo lakini vikao vya juu vya chama hicho ndio vitatoa maamuzi ya Mwisho juu ya Mgombea.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS