Cute Babies wahamasisha wenzao

Kundi la kudansi la Cute Babies

Kundi la kudansi la Cute Babies ambalo limekuwa ni kundi la kwanza la wasichana kujitokeza katika michuano ya Dance100% kwa mwaka huu katika usahili wa pili Don Bosco Upanga, wameongea na eNewz kueleza uwezo wao ikiwa ni kujiamini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS