Tumeandaa waamuzi wenye ujuzi Klabu bingwa - TAVA
Chama cha mpira wa Wavu TAVA kimesema kimejipanga vizuri ili kuweza kuepuka lawama kuhusiana na waamuzi watakaochezesha mashindano ya Wavu Klabu Bingwa Taifa yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi hapo kesho jijini Arusha.

