Nitawafikisha ICC viongozi wanaokiuka haki-Lowassa
Mgombea Urais kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, ambaye pia anawakilisha Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA,Mh. Edward Lowassa amasema atawafikisha viongozi wa Serikali ICC ambao wanakiuka haki za binadamu.