Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF) Bw. Joseph Butiku.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF) Bw. Joseph Butiku amesema Chama cha Mapinduzi (CCM), kimeulea mtandao wa watu wasiopongua 10 ambao unaendelea kuitesa ndani na nje.