Hakuna timu ndogo ligi kuu - Kaseja Mlinda mlango wa Timu ya Mbeya City Juma Kaseja amesema anajiamini atafanya vizuri katika timu hiyo mpya aliyosajiliwa kama atapata ushirikiano kutoka kwa wachezaji, benchi la ufundi na mashabiki. Read more about Hakuna timu ndogo ligi kuu - Kaseja