Nitashughulika na wanaoiba dawa Hosptali-Magufuli
Mgombea wa urais wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli jana ameendelea na kampeni katika mikoa ya Katavi na Rukwa ambapo ameahidi kuondoa uhaba na upungufu wa madawa hosptalini ikiwemo kuwashuglikia watakaobainika kuiba dawa hizo.

