CCM si chama cha mchezo wapinzani watakiona- JK Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa wanaozania kuwa CCM ni chama cha mchezo watakiona cha mtemakuni katika uchaguzi mkuu Oktoba 25 mwaka huu. Read more about CCM si chama cha mchezo wapinzani watakiona- JK