Tuwe makini katika uchanguzi na tusikubali kupokea rushwa. Tumemaliza kujiandikisha kilichobaki ni kutufanya maamuzi sahihi tuchague viongozi sahihi na si bora kiongozi, wala tusikubali kupokea rushwa za wagombea. Read more about Tuwe makini katika uchanguzi na tusikubali kupokea rushwa.