'Hawajui' yambeba mno M-Rap
Baada ya kukamata chati mbalimbali na ngoma yake inayokwenda kwa jina 'Hawajui', staa kinda wa michano M-Rap ameweka wazi kuwa kazi hiyo imeanza kumfungulia milango ya mikataba minono, sambamba na kumuongezea mashabiki kwa wingi.

