Tusisahau kupiga kura #ZamuYako2015 Watanzania tuhakikishe tunapiga kura ili tusipoteze haki yetu ya msingi na pia tuchague viongozi tunaowataka na wenye kutaka mabadiliko kwa nchi yetu. Read more about Tusisahau kupiga kura #ZamuYako2015