Name: Neema PeterWatanzania tuhakikishe tunapiga kura ili tusipoteze haki yetu ya msingi na pia tuchague viongozi tunaowataka na wenye kutaka mabadiliko kwa nchi yetu.Category: Hamasisha