Makocha vilabu Ligi kuu wawe na Leseni B - TPLB

Bodi ya Ligi Nchini TPLB imesema timu ya zote za ligi kuu nchini zinatakiwa kuwa na makocha mwenye Leseni isiyopungua ngazi B ya CAF huku kocha wake msaidizi akitakiwa kuwa na leseni isiyopungua Ngazi C ya CAF.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS