FDL ikipata udhamini, ligi itazidi kukua - Masau
Viongozi wa timu shiriki za Ligi Daraja la Kwanza FDL wamelitaka shirikisho la soka nchini TFF kuwapa mchakato juu ya suala la udhamini wa ligi hiyo inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba 17 mwaka huu.