Serikali kuwanoa Wataalamu wa TEHAMA
Serikali imeanza kuwanoa wataalamu wa TEHAMA na maofisa wake wa idara mbalimbali, ili kuweza kuunganisha mitandao yote ya TEHAMA kwa ajili ya kukomesha taarifa za ubadhirifu wa fedha za umma na ucheleweshaji wa taarifa kwa wananchi.